Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

ENDELEA KUFURAHIA MATUKIO ZAIDI YALIYOJILI KWENYE TUZO ZA MUZIKI ZA KILI 2013


Kala Jeremiah akiwasahukuru mashabiki wake baada ya kupokea tuzo yake. 


 Meneja Masoko wa TBL, Kushila Thomas akimkabidhi tuzo


 Meneja Mkuu wa Kiwanda cha Konyagi cha Tanzania Distilleries Limited (TDL), David Mgwassa akimkabidhi tuzo mtoto wa marehemu Salum Abdallah.


 Meneja wa Bia ya Kilimanjaro, George Kavishe akikabidhi tuzo ya msanii Bora wa kiume  wa mwaka kwa mwakilishi wa msanii Diamond Platnumz


Baadhi ya waandishi wa habari wakifuatilia utoaji wa tuzo hizo. 




 Ommy Dimpoz akipokea tuzo yake ya wimbo bora wa mwaka
kutoka kwa Wema Wepetu. Wimbo wa Me n U - Ommy Dimpoz Feat Vanessa Mdee ndio ulioshindaniwa na kuibuka kidedea.
Ommy Dimpoz akiwashukuru  mashabiki wake. Wa pili kushoto ni Vanessa Mdee.
Mtayarishaji Bora wa Mwaka Bongo Flava, Man Water akipokea tuzo yake.
 Msanii Mkongwe wa Muziki wa Hip Hop hapa nchini ambaye sasa amepotea kidogo kwenye Gemu hilo,Gwamaka Kaihula a.k.a King Crezy G.K akiwasalimia mashabiki wake pindi alipopanda jukwaani kutoa tuzo ya Msanii Bora wa Hip Hop. ZAIDI BOFYA HAPO CHINI
DJ Mseto toka Citizen TV ya Kenya akimuwakilisha mwanamuziki Jose Chamilione baada ya kupata tuzo ya Wimbo bora wa Afrika Mashariki.
Ommy Dimpoz kwa Pozi aliondoka na tuzo tatu usiku wa kuamkia leo pale Mlimani City,jijini Dar
Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL),Kushila Thomas (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na kiongozi wa Bendi ya The Kilimanjaro (wana njenje),Waziri Ally pamoja na Mwana FA baada ya kukabidhi tuzo ya heshima kwa bendi hiyo,wakati wa hafla ya utoaji tuzo kwa wanamuziki mbali mbali iliyofanyika usiku wa kuamkia leo kwenye Ukumbi wa Mlimani City,jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa Konyagi,David Mgwassa (kushoto) akikabidhi tuzo ya heshima kwa 
Redd's Miss Tanzania 2012,Brigit Alfred akikabidhi tuzo ya Msanii Bora wa Kike iliyokwenda kwa Bint Komando Lady Jay Dee.Anayeipokea tuzo hiyo ni Mumewe Lady Jay Dee,Ndugu Garder Habash.
G. Habash akizungumza kwa niaba ya Lady Jay Dee.
Meneja wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager,George Kabishe akitangaza mshindi wa tuzo Msanii Bora wa Bongo Flava.
Muwakilishi wa Msanii Diamond akishukuru kwa niaba yake.
Mtunzi Bora wa Mashairi ya Muziki wa Taarab ni Thabit Abdul na hapa akipongezwa.
Khareed Chokoraa akichukua tuzo ya Msanii Bora wa Kike,ambayo ilikwenda wa Mkongwe Khadija Kopa.
Wawakilishi wa Isha Mashauzi wakipokea tuzo ya Msanii Bora wa Kike Taarabu kutoka kwa Mkurugenzi wa Aset,Baraka Msilwa.
Mrisho Mpoto na Ditto wakipokea tuzo ya Wimbo bora wenye vionjo vya asili.
Ben Pol akinyakua tuzo ya msanii bora wa kiume
Ben Pol akishuru mashabiki pamoja na Mama yake.
Tuzo ya Prodyuza bora wa Mwaka ilienda kwa Man Water.
 Man Water akitoa shukrani
Wema Sepetu akitangaza mshindi wa Tuzo ya Video Bora ya Mwaka iliyokwenda kwa Ommy Dimpoz.
Ommy Dimpoz na Vannesa Mdee wakipokea tuzo kutoka kwa Wema Sepetu.
 
 
CREDITS: HABARI MSETO & SUFIANI MAFOTO BLOG
 
 
 
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top