Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

GARI NDOGO AINA YA TOYOTA HIACE YAPARAMIA NGUZO YA UMEME NA DEREVA ATOKA NDUKI

 


 Gari aina ya toyota Hiace inayofanya safari zake kati ya Dodoma Mjini na Nanenane Yagonga nguzo ya umeme jioni katika barabara ya Nyerere mkoani Dodoma na hatimaye dereva wa gari hilo kukimbia kusikojulikana baada ya kugonga
Mafundi wa tanesco wakiendelea na zoezi la kubadilisha nguzo
Mafundi wa Shirika la Umeme la Tanesco wakibadilisha nguzo iliyogongwa na kuweka nguzo mpya mara baada ya nguzo moja kugongwa na gari ndogo aina ya toyota Hiace jioni hii mjini dodoma
 
credits: Josephat Lukaza
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top