Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

KAULI YA DK WILBROAD SLAA KUHUSU MLIPUKO WA BOMU ULIOTOKEA ARUSHA KWENYE MKUTANO WA CHADEMA



"Jioni hii umetokea mlipuko wa bomu la kutupwa kwa mkono jijini Arusha katika mkutano wa CHADEMA.


Damu imemwagika. Kwa mara nyingin tena tunaona serikali ikishindwa kulinda wananchi wake ambao wanaamini ni wakati wa fikra mbadala za uongozi wa Taifa ili kujiletea maendeleo na kusimamia utu wao.


Nawaambia, umma utashinda. Tofauti ni kwamba fikra hii mbadala itawahakikishia wao usalama katika mikusanyiko yao ya kisiasa wakati watakapokuwa chama cha upinzani.


Siku hiyo inakuja. People's Power!"





CREDITS: EDDYMOBLAZE BLOG
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top