Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akitambulishwa kwa Watanzania waishio Singapore
na Balozi wa Tanzania nchini humo na India, Injinia John Kijazi
alipokutana nao leo katika hoteli ya Swissotel jijini Singapore. Nchini
humo kuna familia nne za Kitanzania ambao wote wanafanya kazi za
kuajiriwa
Rais Kikwete akiongea na Watanzania Waishio Singapore alipokutana nao leo
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya kumbukumbu na Watanzania waishio
Singapore baada ya kuongea nao leo. Kulia ni balozi wa Tanzania nchini
humo na India
Post a Comment