Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari
akichukuliwa vipimo na Daktari kabla ya kupanda ndege ya kukodi kupelekwa jijini
Dar es Salaam katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa matibabu zaidi kutokana na
majeraha aliyoyapata kutokana na kushambuliwa na watu wasojulikana katika vurugu
zilizotekea wakati wa uchaguzi wa udiwani mjini Arusha hivi
karibuni.
credits: Habari Mseto Blog
Post a Comment