Bondia
Japhet Kaseba (kulia) akichapana na Rasco Simwanza wa Malawi wakati wa
pambano lao la Ubingwa wa Kimataifa wa PST lilliofanyika kwenye Ukumbi
wa DDC Kondoa Magomeni jijini Dar es salaam jana usiku. Katika pambao
hilo, Kaseba alishinda kwa TKO ya raundi ya tano.
Bondia
Juma Fundi (kushoto) akichapana na Moro Best, katika pambano lao la
utagulizi. Katika pambano hilo, Juma Fundi aliibuka na ushindi baada ya
kumchapa kwa KO raundi ya sita.
Bondia Ibrahimu Maokola (kushoto) akidundana na Joseph Njelekela. Maokola alishinda kwa KO ya raundi ya tatu.
Bondia
Japhet Kaseba akiwa na mashabiki wake pamoja na mkanda wa Ubingwa wa
PST baada ya kukabidhiwa mkanda huo jana alipomgalagaza Mmalawi kwa KO
raundi ya tano.

Post a Comment