Zoezi la kumuaga mwanamuziki wa kizazi kipya, Albert Keneth Mangwea ndio
unaoendelea kwa sasa katika viwanja vya Leaders Club Kinondoni, jijini
Dar es Salaam.
Baada ya zoezi hili waombolezaji wataanza msafara wa kuelekea Kihonda Morogoro ambako ndipo mwanamuziki huyo aliyethibitika kuwa kipenzi cha wengi atakapopumzishwa katika nyumba yake ya milele.
Umati mkubwa wa watu wanaonekana wakimiminika katika viwanja hivyo kumuaga.
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi, amen

Post a Comment