Waziri Mkuu mstaafu na Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa akizungumza
wakati wa uzinduzi wa Jumuia ya Akiba, Mikopo na Maendeleo Dodoma
(JAMIMADO) mjini Dodoma jana na kuahidi kuichangia Sh Milioni kumi . na kushoto ni Katibu wa
Jumuia hiyo, Salar Benson.
Katibu wa Jumuia hiyo sarah Bnson akizungumza wakati wa uzinduzi huo
Lowassa akiwa na Mbunge wa viti maalum, Felister Bulla
Lowassa akisalimiana na baadhi ya wanachama wa Jumuia hiyo
Post a Comment