Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa CHADEMA, WILFRED LWAKATARE (pichani) amesema kuwa siasa
za chuki na majungu ndani ya chama hicho zimetawala hali inayokwamisha harakati
mbalimbali za kisiasa za chama hicho hadi kufikia kusalitiana hatua iliyofanya
hata mipango mbalimbali kukwama. Alitolea mfano wa video aliyorekodiwa kuwa
ililenga kumuumbua yeye.
Aidha
taarifa za ndani za chama kutolewa nje kwa maadui wa CHADEMA kisiasa nyingi
zinatolewa na viongozi na wanachama wasio waaminifu.
Hayo aliyasema
wakati wa Mkutano na wanachama wa chama hicho uliofanyika Juni 19, 2013 kwenye
Viwanja vya mashujaa maarufu kwa jina la Mayunga mjini Bukoba.
Aidha,
Lwakatare aliwaambia wananchi waliokusanyika katika viwanja hivyo vya mashujaa
kuwa nafasi yake na Ukurugenzi wa Ulinzi na Usalama inamsaidia kuwagundua maadui
wake.
Loading...
BLOG RAFIKI
-
-
-
-
-
THBUB YACHUNGUZA MAUAJI YA KIUNGONI, PEMBA16 hours ago
-
THBUB YACHUNGUZA MAUAJI YA KIUNGONI, PEMBA16 hours ago
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
Post a Comment