Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal,akimsikiliza Mkuu wa Kitengo cha Umeme Eunice Urio, wakati
akimfafanulia kuhusu utendaji kazi wa Mashine ya kufundishia jinsi
inavyoweza kuongoza mashine mbalimbali za umeme, wakati Makamu
alipotembelea Chuo kipya cha Tehama cha VETA Kipawa jijini Dar es
Salaam, leo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimsikiliza na kumtazama Mwanafunzi wa umeme, Elia Michael, alipokuwa
akielezea jinsi wanafunzi hao wanavyoweza kuunda Sacket ya umeme
inayoweza kuongoza mashine mbalimbali za umeme, wakati Makamu
alipotembelea katika Chuo kipya cha Tehama cha VETA Kipawa jijini Dar es
Salaam, leo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimsikiliza Mwalimu wa Umeme katika Karakana ya mafunzo, Adrian
Aloyce, wakati akifafanua jinsi Mashine za 'Automatic System'
zinavyoweza kujiendesha zenyewe, wakati Makamu alipotembelea katika Chuo
kipya cha Tehama cha VETA Kipawa jijini Dar es Salaam, leo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akipanda mti wa kumbi kumbu mbele ya jengo la Chuo cha VETA, wakati
alipotembelea chuo hicho cha Tehama cha VETA Kipawa, leo.
Sehemu ya wanafunzi, walimu wa Chuo hicho waliohudhuria, wakimsikiliza makamu wakati akizungumza.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza machache baada ya kutembelea na kujionea Teknolojia ya
ufundishiaji inayotumiwa na walimu wa Chuo hicho cha VETA Kipawa.
Picha ya pamoja na walimu na watumishi wa Chuo hicho.
Picha ya pamoja na wanafunzi wa Chuo hicho
Post a Comment