Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MAZISHI YA MZEE JULIAN KIBINDO LUKINDO BABA MZAZI WA SUZANI MUNGY WA SHRIKA LA UTANGAZAJI TANZANIA TBC YA FANYIKA KIJINI KWAKE MUHEZA TANGA

 

Makaburini.
Ndugu na jamaa wakijiandaa na mazishi.
Mama Mzazi wa Suzana Mungy bibi Agnesi Julian Lukindo(75) akiweka udongo katika kaburi la mumewe mpendwa mzee Julian Lukindo Bibi Suzana Mungy akiwa pamoja na ndugu zake makaburini pembeni ya jeneza la Baba yao Mzee Julian Lukindo
Bibi Suzana Mungy wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) akiweka udongo katika kaburi la Baba yake mzazi Mzee Julian Kibindo Lukindo(78) ambaye amezikwa jana jioni kijijini kwake Muheza Tanga Mzee Lukindo amezaliwa 1935 na amefariki tarehe 10june2013.
Picha ya Marehemu Mzee Julian Kibindo Lukindo
PICHA NA CHRIS MFINANGA
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top