Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MBUNGE JOSHUA NASSARI YU HOI KITANDANI BAADA YA KUJERUHIWA VIBAYA .... RIPOTI KAMILI HII HAPA



Hali si shwari katika uchaguzi mdogo wa Makuyuni, CCM wamevamia vituo vya kura, mawakala wa CHADEMA wamepigwa vibaya sana.

Kamanda Nassari naye kaumizwa vibaya sana. Amelazwa Hospitali ya Waseliani
Jamani watanzania tunaelekea wapi kwa hali hii?

Ee Mungu utusaidie sisi wanao!




Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top