Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MKE WA RAIS MAMA SALMA KIKWETE AHUDHURIA KONGAMANO LAKUZUIA MAAMBUKIZI YA VVU TOKA KWA MAMA KWENDA KWA MTOTO



IMG_3452
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akizungumza na Mke wa Rais wa Sierra Leone Mama Sia Koroma muda mfupi kabla ya kuhudhuria kongamano kuhusu kuzuia maambukizi ya HIV/AIDS kutoka kwa mama kwenda kwa motto. Kongamano hilo lilifanyika kwa ushirikiano wa Japan na Umoja wa Wake wa Marais na Wakuu wa Nchi za Jumuia ya Afrika (OAFLA) kwenye ukumbi wa Pacifico Yokohama nchini Japan tarehe 1.6.2013IMG_3470
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete afifanya mazungumzo na Mke wa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Ethiopia Madam Roman Tesfaye kabla ya kuhudhuria kongamano kuhusu maambukizo ya HIV/AIDS lililofanyika katika mji wa Yokohama nchini Japan tarehe 1.6.2013IMG_3515Wajumbe waliofuatana na Mama Salma Kikwete wakisikiliza hotuba ya ufunguzi iliyotolewa na Mke wa Waziri Mkuu wa Japan Madam Akie Abe kwenye wakati wa kongamano
IMG_3551IMG_3565
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akijadiliana jambo na Mke wa Mfalme Mswati III wa Swaziland Inkhosikati Nolighwa Ntentesa wakati wa kongamano lililokuwa linajadili kuhusu kuzuia maambukizi ya HIV/AIDS kutoka kwa mama kwenda kwa motto lililofanyika tarehe 1.6.2013 huko Yokohama nchini Japan.IMG_3658
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiagana na Mke wa Rais wa Ghana Madam Lordina Mahama mara baada ya kuhudhuria kongamano kuhusu kuzuia maambukizi ya HIV/AIDS kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto kwa ushirikiano wa Japan na Umoja wa wake wa Marais na wakuu wan chi za Afrika uliofanyika huko Yokohama nchini Japan terehe 1.6.2013. IMG_3694
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akifurahia jambo na Mke wa Rais wa Cote D’ivoire Madam (kushoto) na Mke wa Rais wa Mali Madam Traore Mentou Doucouri (kulia) mara baada ya kuhudhuria kongamano la kuzuia maambukizi ya HIV/AIDS kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto lililoandaliwa kwa pamoja kati ya Japan na Umoja wa wake wa Marais na wakuu wa nchi za Afrika (OAFLA) huko Yokohama tarehe 1.6.2013IMG_3642
Picha ya pamoja ya wake wa Marais na wakuu wa nchi za Afrika na Japan mara baada ya semina ya siku moja iliyofanyika huko Yokohama nchini Japan tarehe 1.6.2013
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top