Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MONTAGE LTD, SERENA HOTELI WAADHIMISHA SIKU YA MTOTO WA AFRIKA NA WATOTO WA KITUO CHA PASADA

 


 Mkurugenzi wa Masoko na Mauzo wa Serena Hoteli, Seraphin Lusala akizungumza na watoto wanaoishi katika mazingira magumu kutoka PASADA wakati wa hafla ya Chakula cha mchana kilichoandaliwa na Kampuni ya Montage kwa kushirikiana na hoteli hiyo jijini Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya siku ya mtoto wa Afrika. (Picha kwa hisani ya  Habari Mseto Blog)
Mkurugenzi  Mkuu wa Kampuni ya Montage, Teddy Mapunda akizungumza na waandishi wa habari wakati wa maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika ambapo kampuni ya montagde iliandaa chakula cha mchana kswa ajili ya watoto wanaioishi katika mazingira magumu.
 Watoto wakisherehekeasiku yao.
Mkurugenzi  Mkuu wa Kampuni ya Montage, Teddy Mapunda na Mkurugenzi wa Masoko na Mauzo wa Serena Hoteli, Seraphin Lusala wakigawa vinywaji baridi kwa watoto.
 Watoto wakipata chakula.
 Watoto wakipata chakula.
 Watoto wakipata chakula.
Wafanyakazi wa Serena Hoteli.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top