Kamati
ya maadalizi ikitoa shukurani mbele ya waombolezaji wakati wa kuaga
mwili wa marehemu Albert Mangwea leo kwenye viwanja vya Leaders.
Wanakamati
wakijiandaa kupanda jukwaani kwa ajili ya kitoa shukurani zao kutokana
na ushirikiano walioupata katika kipindi hiki kigumu. 
Umati wa mashabiki wa muziki ukisubiri kwenda kuaga mwili wa marehemu Albert Mangwe leo. 
Msanii Profesa J. wa tatu kutoka kushoto akiwana ndugu wa Albert Mangwea katika miba huo.
Mdau
Bhoke Wambura kushoto akijadili jambo na rafiki yake Dokii pamoja na
rafiki yao Aisia wakishiriki katika msiba wakati wa kuaga mwili wa
marehemu Albert Mangwea kwenye viwanja wa Leaders leo kabla ya kuondoka
kuelekea Mkoani Morogoro kwa mazishi 
Watu wengi wameuaga mwili wa marehemu Albert Mangwea kama wanavyoonekana kwenye picha. 
Ndugu wa karibu wa marehemu Albert Mangwea wakiwana majonzi makubwa 
Ndugu wa karibu wa marehemu Albert Mangwea wakiwana majonzi makubwa 
Wasanii wa muziki wa kizazi kipya wakiwa katika msiba huo huku wakiwa na masikitiko makubwa. 
Waigizaji wa filamu nao wamejumuika na wenzao pamoja katika msiba huo 
Ilikuwa ni majozi na ukimya tu 
Said Bonge wa Clouds wa pili kutoka kushoto akiwa pamoja na waombolezaji wengine wakiwemo wanausalama 
Steve Nyerere kulia na Hatman Mbilinyi waliokaa wamejumuika katika kumuaga msanii Albert Mangwea
Post a Comment