


Rais Dkt Jakaya Mrisho
Kikwete akimuapisha Mhe Luteni Jenerali Mstaafu Abdulrahman Shimbo
(kulia) , anayekuwa balozi wa Tanzania nchini China



Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Mhe Anthony Cheche (kushoto) anayekuwa Balozi wa Tanzania katika Congo DRC.

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete
na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilal wakiwa na mabalozi wapya
walioapishwa leo Juni 11, 2013 katika Ikulu Ndogo Dodoma. Mabalozi hao
ni Mhe Luteni Jenerali Mstaafu Abdulrahman Shimbo (kuli) , anayekuwa
balozi wa Tanzania nchini China na Mhe Anthony Cheche (kushoto)
anayekuwa Balozi wa Tanzania katika Congo DRC.

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete
katika picha ya kumbukumbu na Makamu wa Rais DktbMohamed Gharib Bilal
pamoja na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue na Makatibu wakuu wa
Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa na Wizara ya Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Kimataifa.Picha na IKULU
Post a Comment