Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia katika mkutano wa kwanza wa
ushirikiano wa kibiashara kati ya Tanzania na Singapore ulioandaliwa leo
Juni 5, 2013 katika hoteli ya Swissotel jijini Singapore.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete za ujumbe wake wakitembezwa kuangalia bandari ya Singapore.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akisoma kitabu alichopewa na Wakurugenzi wa
NEWater plant baada ya kutembelea mitambo yao ambayo inatoa huduma ya
maji masafi kwa nchi ya Singapore baada ya kuyachuja na kuyasafisha
kutoka vyanzo mbalimbali ikiwa ni pamoja na baharini, maji ya mvua na
maji taka.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akitambulishwa kwa baadhi ya Watanzania Waishio
Singapore alipokutana nao leo Juni 5, 2013 katika hoteli ya Swissotel
jijini Singapore.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akipiga picha ya kumbukumbu na Watanzania
Waishio Singapore alipokutana nao leo Juni 5, 2013 katika hoteli ya
Swissotel jijini Singapore. Kulia ni balozi wa Tanzania nchini Singapore
Injinia John Kijazi.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na wawekezaji wa Singapore leo Juni 5, 2013 katika hoteli ya Swissotel jijini Singapore.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia katika mkutano wa kwanza wa
ushirikiano wa kibiashara kati ya Tanzania na Singapore ulioandaliwa leo
Juni 5, 2013 katika hoteli ya Swissotel jijini Singapore
Rais Jakaya Mrisho Kikwete za ujumbe wake wakitembezwa kuangalia bandari ya Singapore.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini katika kitabu cha wageni baada ya
kuwasili katika Istana (Ikulu ya Rais) leo Juni 5, 2013 huku mwenyeji
wake Rais wa Singapore Dkt Tony Keng Yam akiwa pembeni yake baada ya
kumlaki.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na mwenyeji wake Rais wa
Singapore Dkt Tony Keng Yam alipokutana naye katka Istana (Ikulu) ya
Singapore leo.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na mwenyeji wake Rais wa
Singapore Dkt Tony Keng Yam alipokutana naye katka Istana (Ikulu) ya
Singapore leo.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na mwenyeji wake Rais wa Singapore Dkt
Tony Keng Yam alipokutana naye katka Istana (Ikulu) ya Singapore leo. PICHA NA IKULU
Post a Comment