Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akisikiliza kwa makini maelezo aliyokuwa akipewa
na Waziri Mkuu Ndugu Mizengo Pinda mara tu baada ya kuwasili kwenye
uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere akitokea nchini
Uingereza. Rais Kikwete alirejea nchini tarehe 18.6.2013 usiku baada ya
ziara ya kikazi nchini Uingereza.
PICHA NA JOHN LUKUWI
Post a Comment