Waandamaji Nchini Afrika Kusini wakiwa wamebeba
mabango yanayopinga kuja Kwa Raisi Obama nchini Humo wakati wa maandamano ya
Amani ya Kupinga Kuja Kwa Obama Katika Jiji la Pretoria Nchini Afrika Jioni ya
leo wakati Raisi Obama alipotua Katika Jiji Hilo leo Jioni Juni
28
Waandamaji Nchini Afrika Kusini Wakisali mbele ya
Bango linalopinga Kuja kwa Raisi Obama Nchini Humo wakati Raisi Obama alipotua
Nchini Afrika Kusini Jioni ya Leo Juni 28
Waandamaji wa Nchini Afrika Kusini wakiwa wanasali
mbele ya Ubalozi wa Marekani wakati wa maandamano ya kupinga kuja kwa Raisi
Obama Nchini Humo Mapema leo wakati Raisi Obama alipotua Nchini Humo Kwa Ziara
ya Siku 2 ametokea Nchini Senegali na Kutua Nchini Afrika Kusini huku Akihitisha
Ziara Yake Nchini Tanzania wiki ijayo.
Mmoja wa waandamaji nchini Afrika Kusini ambaye jina
lake halikuweza kupatikana mara moja akiwa amebeba moja ya Bango ambalo
Linamwita Raisi OBAMA kuwa ni Mpishi wa Ikulu ya Marekani kama linavyosomekana
na kuendelea kuelezea kuwa sera za Marekani ni tatizo.Mwandamaji huyu amebeba
bango leo Juni 28 wakati wa maandamo ya amani kuelekea mbele ya Ubalozi wa
Marekani NChini humo kwa kupinga Kuja Kwa OBAMA Nchini Mwao.Picha Zote na
REUTERS/AFP
Post a Comment