Rais
Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ali Hassan Mwinyi akiangalia
Sabuni iliotengenezwa kwa Mwani katika Ufunguzi wa Tamasha la Urithi
wa kiutamaduni wa watu wa Mangapwani Mkoa wa Kaskazini Wilaya ya
Kaskazini “B”Unguja.
Rais
wa Zanzibar Dk Ali Mohd Shein wakwanza kulia akikaribishwa kwa ngoma ya
Ndege mara alipowasili katika Ufunguzi wa Tamasha la Urithi wa
kiutamaduni wa watu wa Mangapwani Mkoa wa Kaskazini Wilaya ya Kaskazini
“B”Unguja.
Rais
wa Zanzibar Dk Ali Mohd Shein wakwanza kulia akiangalia Ngoma
inayochezwa na Watoto mara alipowasili katika Ufunguzi wa Tamasha la
Urithi wa kiutamaduni wa watu wa Mangapwani Mkoa wa Kaskazini Wilaya ya
Kaskazini “B”Unguja.
Rais
wa Zaanzibar Dk Ali Mohd Shein katikati akiangalia mchezo wa Bao la
kete baada ya kuwasili katika Ufunguzi wa Tamasha la Urithi wa
kiutamaduni wa watu wa Mangapwani Mkoa wa Kaskazini Wilaya ya Kaskazini
“B”Unguja.kulia yake ni Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Ali Hassan Mwinyi na kushoto yake ni Mwenyekiti wa Tamasha hilo Mwinyi
Jamal Ramadhan.
Rais
wa Zanzibar Dk Ali Mohd Shein akiangalia Picha zilizochorwa kwa Ustadi
pamoja na mazulia katika moja ya mabanda yaliokuwepo katika Ufunguzi
wa Tamasha la Urithi wa kiutamaduni wa watu wa Mangapwani Mkoa wa
Kaskazini Wilaya ya Kaskazini “B”Unguja.
Rais
wa Zanzibar Dk Ali Mohd Shein wapili kushoto akichangia Upatu wa
Maridadi ambao hutolewa baada ya Mwana kuolewa na watu kunywa
chai(Kombela Bwana Harusi) katika Ufunguzi wa Tamasha la Urithi wa
kiutamaduni wa watu wa Mangapwani Mkoa wa Kaskazini Wilaya ya Kaskazini
“B”Unguja.
Rais
Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ali Hassan Mwinyi akitoa
hotuba ya makaribisho katika Ufunguzi wa Tamasha la Urithi wa
kiutamaduni wa watu wa Mangapwani Mkoa wa Kaskazini Wilaya ya Kaskazini
“B”Unguja.kushoto yake ni Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo
Said Ali Mbarouk.
Rais
wa Zanzibar Dk Ali Mohd Shein akitoa hotuba ya Ufunguzi wa Tamasha la
Urithi wa kiutamaduni wa watu wa Mangapwani Mkoa wa Kaskazini Wilaya ya
Kaskazini “B”Unguja.
Rais
wa Zanzibar Dk Ali Mohd Shein akisalimiana na Mzee Issa Suleiman Issa
katika nyumba ya kiasili iliojengwa kwa makuti ya Kumba ikiwa ni ishara
ya Ufunguzi wa Tamasha la Urithi la watu wa Mangapwani Mkoa wa
Kaskazini Wilaya ya Kaskazini “B”Unguja.
PICHA ZOTE NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR.
Post a Comment