Waziri
wa ushirikiano waAfrika Mashariki Mh. Samweli Sitta amesema mchakato
wa rasimu ya katiba mpya iliyotangazwa imelenga kuwatafutia ulaji
viongozi wa serikali na kwamba inahitajika kufanyiwa kazi ya ziada na
kudai kuwa muungano au shirikisho haviwezi kupatikana kama vipengele
vinavyohusu serikali ya tanzania bara havijaelezwa vizuri.
Akizungumza na waandishi wa habari Jijini Dar es salaam
kwenye mahafali ya chuo cha Ualimu Kibamba Mh Sitta amesema endapo
kutakuwepo na rais wa tanganyika ina maana nchi itakuwa kihoja kwa kuwa
na marais watatu na kueleza kuwa kama yakipitishwa basi wananchi
wakubali kuwepo na mzigo wa kuwahudumia na hata itifaki yake itakuwa ni
tabu na kudai kuwa rasimu hiyo ni dhahiri viongozi wanajitafutia ulaji
ndani ya katiba mpya kwani haelewi ni kwanini tume imependekeza mawaziri
15 wakati masuala ya muungano yapo saba
Waziri
wa ushirikiano waAfrika Mashariki Mh. Samweli Sitta amesema mchakato
wa rasimu ya katiba mpya iliyotangazwa imelenga kuwatafutia ulaji
viongozi wa serikali na kwamba inahitajika kufanyiwa kazi ya ziada na
kudai kuwa muungano au shirikisho haviwezi kupatikana kama vipengele
vinavyohusu serikali ya tanzania bara havijaelezwa vizuri.
Akizungumza na waandishi wa habari Jijini Dar es salaam kwenye mahafali ya chuo cha Ualimu Kibamba Mh Sitta amesema endapo kutakuwepo na rais wa tanganyika ina maana nchi itakuwa kihoja kwa kuwa na marais watatu na kueleza kuwa kama yakipitishwa basi wananchi wakubali kuwepo na mzigo wa kuwahudumia na hata itifaki yake itakuwa ni tabu na kudai kuwa rasimu hiyo ni dhahiri viongozi wanajitafutia ulaji ndani ya katiba mpya kwani haelewi ni kwanini tume imependekeza mawaziri 15 wakati masuala ya muungano yapo saba

on Sunday, June 9, 2013

Post a Comment