Kaimu
Katibu Tawala Mkoa wa Arusha, Bw. Mwanga Ekzaudi ambaye ndio alikuwa
mgeni rasmi katika Semina hiyo kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha.
Mkaguzi wa Ndani Mkuu wa Serikali Msaidizi Bw. Constantine Mashoko akitoa hotuba ya kumkaribisha mgeni rasmi.
Wadau wa Semina hii wakisikiliza kwa makini hoja zilizokuwa zinatolewa.
Watoa
mada katika semina hiyo, kutoka kushoto ni Mkaguzi wa Ndani Chuo Kikuu
cha Mzumbe Bw. Barikiel Nkinda, Mkaguzi Mkuu wa Ndani Tume ya Pamoja ya
Fedha Bw. Cassim Mambo na Mkaguzi Mkuu wa Ndani Mradi wa Mabasi yaendayo
kasi (DART) Bw. Alphonce Muro.![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhrUqRHTRfApMKhzer3OPW1qkEDAfKLles8tzYa5VNp1boZUY4tIQK1dCQ-hjxF7xOn0ytXs2fi0G3wtiN4NHHWHsTYArsGPLDFHTWMJLECO7VmsZb3Jpdk2vokpBiQ55aj3pqIBi168tQ/s640/IMG_0606.JPG)
Baadhi
ya Sekretarieti ya maandalizi ya mkutano huo wakifanya mapitio ya mada
ambazo ziliwasilishwa katika semina hiyo kutoka kushoto ni Bw. Elikira
Mathew, Bi. Lightness Mality pamoja na Bi. Wapheba Setembo.
Baadhi ya wajumbe walioshiriki kwenye semina hiyo katika picha ya pamoja. Imetolewa na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini – Wizara ya Fedha.
Post a Comment