Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

TAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA KWA VYOMBO VYA HABARI


 


“PRESS RELEASE” TAREHE 18. 06. 2013.


WILAYA YA KYELA - KUBAKA


MNAMO TAREHE 17.06.2013 MAJIRA YA SAA 17:30HRS HUKO KATIKA KIJIJI CHA ITUNGE WILAYA YA KYELA MKOA WA MBEYA. IPYANA S/O GIDION,MIAKA 30,KYUSA,MKULIMA / MWALIMU WA MASOMO YA ZIADA [TUITION] ITUNGE MORAVIAN MKAZI WA MTAA WA MBUGANI – KYELA ALIMBAKA MTOTO MWENYE UMRI WA MIAKA 10, KYUSA,MWANAFUNZI DARASA LA NNE S//MSINGI MBUGANI MKAZI WA ITUNGE “A” NA KUMSABABISHIA MAUMIVU MAKALI MWILINI. MBINU ILIYOTUMIKA NI KUWARUHUSU WANAFUNZI ALIOKUWA AKIWAFUNDISHA KUONDOKA NA KUBAKI NA MHANGA KISHA KUMBAKA KATIKA CHUMBA ANACHOTUMIA KUFUNDISHIA [DARASANI] . MTUHUMIWA AMBAYE ALIWAHI KUHUKUMIWA KIFUNGO CHA MIAKA 30 GEREZANI KWA KOSA LA KUBAKA NA KUTOKA KWA RUFAA AMEKAMATWA. MHANGA AMEPATIWA MATIBABU NA KURUHUSIWA. TARATIBU ZINAFANYWA ILI MTUHUMIWA AFIKISHWE MAHAKAMANI. KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA KAMISHNA MSAIDIZI WA POLISI DIWANI ATHUMANI ANATOA WITO KWA JAMII KUACHA TAMAA ZA KIMWILI BADALA YAKE KUWA WAAMINIFU KATIKA MAJUKUMU AMBAYO WAMEPEWA DHAMANA NA JAMII/TAASISI KUYATEKELEZA KWA UADILIFU.


Signed By,

[DIWANI ATHUMANI - ACP]

KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top