Katibu
Tawala wa Mkoa wa Dar es Salaam,Edward Otieno(kulia) akimkabidhi
mjasilamali,Pinie Mwasha mashine ya maabara (Outclave sterilizer) wakati
wa zoezi la kukabidhi vifaa vya ruzuku kwa wajasiliamali waliofuzu
kwenye program ya Safari Lager Wezeshwa kwa kanda ya Pwani iliyofanyika
katika Viwanja vya Leaders Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.Katikati ni
Meneja wa Bia ya Safari Lager,Oscar Shelukindo.
Katibu
Tawala wa Mkoa wa Dar es Salaam,Edward Otieno(kulia) akimkabidhi
mjasilamali,Jamhuri Oiso mashine ya kutengeneza soli za viatu wakati wa
zoezi la kukabidhi vifaa vya ruzuku kwa wajasiliamali waliofuzu kwenye
program ya Safari Lager Wezeshwa kwa kanda ya Pwani iliyofanyika katika
Viwanja vya Leaders Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Post a Comment