Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Simanjiro, Christopher Ole
Sendeka kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Juni 25, 2013. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Kilindi, Beatrice Shellukindo
kwenye viwanja vya bunge Mjini Dodoma Juni 25,2013. (Picha na Ofisi ya
Wairi Mkuu)MWaziri
Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na madiwani kutoka jimbo la Chilolo
mkoani Iringa kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Juni 25, 2013.(Picha
na Ofisi ya Waziri Mkuu)
on Wednesday, June 26, 2013
Post a Comment