Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

WAZIRI MKUU PINDA AHUDHURIA MKUTANO WA KIMATAIFA WA LISHE- LONDON

 

IMG_0273
Waziri  Mkuu,Mizengo pInda ana Viongozi wengine wakimsikiliza Waziri Mkuu wa Uingereza, David Cameron wakati alipohutubia mkutano wa kimataifa wa Lishe mjini London Juni 8, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) IMG_0288
Waziri  Mkuu,Mizengo pInda ana Viongozi wengine wakimsikiliza Waziri Mkuu wa Uingereza, David Cameron wakati alipohutubia mkutano wa kimataifa wa Lishe mjini London Juni 8, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) IMG_0318
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza katika Mkutano wa Kimataifa wa Lishe uliofanyika Mjini Londoni Juni 8, 2013.  Wapili kushoto ni Waziri Mkuu wa Ivory Coast, DanielDuncan. (Picha na Ofisi ya Wazir Mkuu)
 
IMG_0336
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Kamishina wa Maendeleo ya Uchumi na Kilimo wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika (Commissioner for Rural Economy and Agriculture, African Inion Commission), Tumusiime Rhoda katika Mkutano wa Kimataifa wa Lishe Mjini London Juni 8, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top