Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

AGNESS MASOGANGE AZIDI KUWACHANGANYA WATU


Agnes Masogange akiwa na mpenzi wake huko Afrika ya kusini.

Kikubwa cha kujiuliza hapa tukae upande gani maana Gazeti la leo la Nipashe limesema Agnes Gerald kwa jina lingine anaitwa Agnes Maasogange ameshikwa na madawa ya kulevya ila muda huu kapost picha tatu na pia akiwatakia waislamu mfungo mwema.
Au kuna mchezo hapa tunachezewa ili pasionekane nani muhusika wa jambo ili la madawa ya kulevya. Na pia jina analolitumia kwenye Instagram ni aggnesfineassgirl
NIPASHE


Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top