Kijiji
hiki kinapatikana katika jimbo la Overijssel, huko nchini Uholanzi.
Kijiji hiki hakina barabara na watu wake husafiri kwa kupitia mifereji
yake maridadi au kutembea kwa miguu juu ya madaraja ya mbao yaliyopo juu
ya mifereji hiyo ya maji. Kijiji hiki kimekuwa ni kivutio kikubwa cha
utalii katika jimbo la Overijssel.
on Monday, July 15, 2013
Post a Comment