DEREVA WA DALADALA ALIYE SABABISHA AJALI HIYO AKIWA AMEAMATWA ENEO LA SOWETO MBEYA
DEREVA WA DALADALA AKIWA ANAKWEPA KUPIGWA NA MADEREVA WA BODABODA
DEREVA
WA DALADALA AKIWA ANAJIELEZA KWA NINI ALIAMUA KUKIMBIA KUTOKA STAND KUU
MPAKA SOWETO WALIPO MKAMATA KWA USALAMA WAKE MWENYEWE
BAADHI YA MADEREVA WA BODA BODA WAKIWA WAMEMZINGIRA KIJANA HUYO
MMOJA WA WAKUU WA MADEREVA WA BODA BODA AKIWA ANAMUHOJI DEREVA WA DALADALA AMBAYE JINA HALIKUTAMBULIKA KWA MUDA
HII
NDIYO DALADALA ILIYO GONGA BODABODA NNE ENEO LA STAND KUU JANA USIKU NA
KUKIMBIA, HAPA MADEREVA WA BODA WAKIWA WAMEIVUNJA VUNJA VIOO
HAPA DEREVA WA DALADALA AKIWA AMEPAKIWA KATIKA PIKIPIKI NA MADEREVA WA BODABODA WALIODAI KUWA WANAMPELEKA STAND KUU.
MPAKA TUNATOKA ENEO LA TUKIO HAIKUJURIKANA MARA MOJA WANAKWENDA KUISHIANA VIPI. ENDELEA KUFUATILIA
PICHA ZOTE NA MBEYA YETU
Post a Comment