Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete akimsikiliza Mhe. Rais Obama wakati
wa uzinduzi huo. Wengine katika picha ni Mhe. Prof. Sospeter Muhongo,
Waziri wa Nishati na Madini na Mhe. Said Mecky Sadick, Mkuu wa Mkoa wa
Dar es Salaam jana.
Wanajeshi wawili wa Tanzania wauawa DRC, wanne wajeruhiwa
50 minutes ago
Post a Comment