Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MAMA SALMA KIKWETE NA WAKE WA MARAIS WATEMBELEA MAONYESHO YA 37 YA SABASABA

  Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiandamana na Mheshimiwa Inagosi Bulo kutoka DRC (kushoto) na Inkhosikati Lambikiza wa Swaziland na Mama Charlotte Scott wa Zambia wakiwa nje ya banda la Zanzibar mara baada ya kutembelea banda hilo.
 Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo Maendeleo Mama Salma Kikwete akiangalia bidhaa mbalimbali za aina ya shanga zilizokuwa zikionyeshwa kwenye banda la SIDO wakati walipotembelea maonesho hayo tarehe 30.6.2013.

 Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akifuatana na Waziri Inagosi Bulo kutoka DRC (kushoto) na Inkhosikati Lambikiza wa Swaziland (kulia) wakiangalia bidhaa mbalimbali zilizotengenezwa kutoka kwenye mnazi kama zilivyokuwa zikionyeshwa na akina mama kwenye banda la WIPE.
 Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiongea na waandishi wa habari mara tu baada ya kumaliza ziara yake na ugeni aliouongoza kutembelea mabanda mbalimbali ya maonesho tarehe 30.6.2013.
 Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo Maendeleo Mama Salma Kikwete akiangalia bidhaa mbalimbali za aina ya shanga zilizokuwa zikionyeshwa kwenye banda la SIDO wakati walipotembelea maonesho hayo tarehe 30.6.2013.
Mwenyekiti wa WAMA na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiagana na Mke wa Makamu wa Rais wa Zambia Mama Charlotte Scott ambaye aliondoka uwanjani hapo kwenda uwanja wa ndege kuungana na mume wake kwa ajili ya safari ya kurudi nchini Zambia.Picha na John Lukuwi
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top