Msanii wa Muziki wa Bongo
Fleva,Nassib Abdul a.k.a Diamond akiwajibika jukwaani sambamba na madansa wake
wakati Onyesho Kabambe la Kilimanjaro Tanzania Music Tour 2013,lililofanyika
kwenye Uwanja wa Ushirika Mjini Moshi ndani ya Mkoa wa Kilimanjaro mwishoni mwa
wiki na kuhudhuliwa na maelfu ya wakazi wa Moshi na mikoa ya Jirani waliokataa
kupitwa na Onyesho hilo.
Msanii wa Muziki wa Bongo
Fleva,Nassib Abdul a.k.a Diamond akiwapagawisha mashabiki wake wakati Onyesho
Kabambe la Kilimanjaro Tanzania Music Tour 2013,lililofanyika kwenye Uwanja wa
Ushirika Mjini Moshi ndani ya Mkoa wa Kilimanjaro mwishoni mwa wiki na
kuhudhuliwa na maelfu ya wakazi wa Moshi na mikoa ya Jirani waliokataa kupitwa
na Onyesho hilo.
Wanamuziki wakongwe katika
medani ya muziki wa kizazi kipya, Judith Wambura a.k.a Lady Jaydee na Joseph
Haule au ukipenda waweza muita Profesa Jay wakiburudisha maelfu ya mashabiki wa
muziki waliofurika katika Uiwanja wa Ushirika mjini Moshi mwishoni mwa wiki
katika muendelezo wa Maonyesho ya Tamasha la Kilimanjaro Tanzania Music Tour
2013.
Mkali wa RnB,Ben Pol
akifanya vitu vyake jukwaani.
Barnaba Elias nae kwa
nafasi yake na uwezo wake akiwajibika stejini.
Snura Mushi a.k.a Mamaa wa
Majanga akionesha umahiri wake mbele ya mashabiki wake wa mkoa wa Kilimanjaro
waliofurika kwa wingi katika Uwanja wa Ushirika kushuhudia onyesho la Tamasha la
Kilimanjaro Tanzania Music Tour 2013.
Kundi bora la muziki wa
Reggae Tanzania kwa mujibu wa tuzo za Kilimanjaro Tanzania Music Awards 2013.
Warriors from the East, wakionesha uwezo wao katika kulimiliki jukwaa kwenye
onyesho la tatu la Tamasha la Kilimanjaro Tanzania Music Tour 2013,lililofanyika
kwenye Uwanja wa Ushirika mjini Moshi mwishoni mwa wiki.
Mkali wa Miondoko ya
Miduara,AT akiwapagawisha mashabiki wake lukuki ndani ya Uwanja wa Ushirika
mjini Moshi.
Kundi bora la muziki kwa
mujibu wa tuzo za Kilimanjaro Tanzania Music Awards 2013,Jambo Squard,
wakionesha ubora wao katika jukwaa la tatu la ziara Kilimanjaro Tanzania Music
Tour 2013 zinazoendelea nchi nzima.
Mwamba wa Kaskazini, John
Makini akifanya vitu yake jukwaani.
Roma
Mkatoliki.
Mwanamuziki bora wa Hip Hop
2013, Kala Jeremiah akiwarusha mashabiki wake juzi katika viwanja vya Ushirika
jijini Moshi.
nyomii
Jay
Dee
Prof. Jay a.k.a Mti
Mkavu.
Swagga za Diamond na timu
yake jukwaani.
Wakazi wa Moshi na Mlima
wao Kilimanjaro.
Wadau wa Moshi wakikata kiu
na kilaji cha Kilimanjaro
Meneja Masoko wa
TBL,Mamungai (shoto) Meneja wa Bia ya Kilimanjaro,George Kavishe (kulia) pamoja
na wadau ndani ya uwanja wa Ushirika mjini Moshi.
Wadau wakipata Bonge la
Kiburudisho.
Snura na Mapacha
wake.
Meneja wa Bia ya
Kilimanjaro,George Kavishe (pili kushoto) wakiwa na Lady Jay Dee,Prof.
Jay,Gardiner Habash na Kiboya.
Wakali wa Mang'ong'oo a.k.a
Jambo Squad.
Wadau.
Wadau
Wapiganaji ndani ya
Nyumba.
Mdimu na Daniel Lema wa
Integrated.
Shangwe zilitawala muda
wote wa Show.
Ma MC,Abdallah Ambua na
Zembwela
Nyomi la
hatari.
Umati wa mashabiki wa
muziki wa kizazi kipya waliofurika katika viwanja vya Ushirika mjini Moshi
kushuhudia tamasha la tatu la ziara ya Kilimanjaro Tanzania Music Tour
2013 zinazoendelea nchi nzima.Picha zote na Othman Michuzi.
Post a Comment