Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Naibu Waziri Mkuu wa Kuwait na
Waziri wa mambo ya Nje wa Kuwait Mhe Sabah Khalifa aliyemtembelea leo
Ikulu Dar es salaam
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Naibu Waziri Mkuu wa Kuwait na
Waziri wa mambo ya Nje wa Kuwait Mhe Sabah Khalifa na ujumbe wake
aliyemtembelea leo Ikulu Dar es salaam
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipata picha ya kumbukumbu na Naibu Waziri
Mkuu wa Kuwait na Waziri wa mambo ya Nje wa Kuwait Mhe Sabah Khalifa na
ujumbe wake aliyemtembelea leo Ikulu Dar es salaam
Post a Comment