Spika
wa Bunge la Oman pamoja na wabunge 6 na wafanyakazi wengine wa Bunge la
Oman, (Majlis A'shura) Sheikh Khalid Bin Bilal Bin Nasir Al Maawali
leo ametembelea mbuga ya wanyama ya Serengeti na kushuhudia sehemu ya
'Great Migration' katika mbuga hiyo. . Spika huyo ameishauri Tanzania
kuitangaza zaidi utalii kwa kupitia vyombo vyote vya habari pamoja na
mitandao ya kijamii ili kuvutia watalii wenye uwezo wa kifedha zaidi.
Amehaidi ushirikiano wa kuitangaza Tanzania katika Inchi ya Oman na
kuifanya iwe kivutio kwa wawekezaji wa kiarabu zaidi.
Spika
wa Bunge la Oman, (Majlis A'shura) Sheikh Khalid Bin Bilal Bin Nasir Al
Maawali akiwa katika hoteli ya kitalii ya Serengeti Four Seasons kabla
ya kuelekea mbugani
Safari ya mbugani ikianza
Msafara wa Spika wa Bunge la Oman, (Majlis A'shura) Sheikh Khalid Bin Bilal Bin Nasir Al Maawali
Pundamilia
Nyumbu kibao kila sehemu
Nyumbu
Nyumbu kila mahali
Mapumziko
Spika wa Bunge la Oman, (Majlis A'shura) Sheikh Khalid Bin Bilal Bin Nasir Al Maawali akiongea machache
Spika wa Bunge la Oman, (Majlis A'shura) Sheikh Khalid Bin Bilal Bin Nasir Al Maawali na msafara wake pamoja na wenyeji wake
Askari wa TANAPA akiwa lindoni
Mapumziko
Pundamilia
Msafara watua Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Karume, Zanzibar
Post a Comment