Pambano kati ya Mbunge Halima Mdee
na Muigizaji Jackline Wolper iliishia droo kwa kufungamana kwa makonde
10-10.
Aunt Ezekiel akijiandaa kabla ya
kuanza pambano dhidi ya Mbunge Ester Bulaya.
Napo hapakupatikana
mshindi..iliishia 5-5 kati ya Mbunge Ester Bulaya (kulia) na muigizaji Aunt
Ezekiel.dj-sek
blog
Muigiziaji wa Bongo Movie Jackline Wolper akielekea ulingoni.
Mheshimiwa Halima Mdee, Mbunge wa Kawe akisindikizwa ulingoni na Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nassari..picha zote kwa hisani ya Tigo Tanzania
Post a Comment