WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA YA HALI YA HEWA.
S.L.P.3056,
DAR-ES-SALAAM
TELEFAX-2460772.
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA12
ZIJAZO KUANZIA ASUBUHI YA LEO.
TAREHE
03/07/2013.
[Mikoa ya Mara,
Kagera, Mwanza na Shinyanga]:
[Mikoa ya
Dodoma, Kigoma, Tabora na
Singida]:
[Mikoa ya
Iringa, Mbeya, Rukwa na Ruvuma]:
[Mikoa ya
Arusha, Kilimanjaro na Manyara]:
[Mikoa ya Dar es
Salaam, Pwani na Tanga]:
[Mikoa ya Lindi,
Morogoro na Mtwara]:
[Visiwa vya
Unguja na Pemba]:
|
Hali ya mawingu
kiasi na vipindi vya jua.
|
VIWANGO VYA JOTO,
MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:
MJI
|
Kiwango cha juu cha
joto
|
Machweo (Saa)
|
ARUSHA
|
22°C
|
12:35
|
D'SALAAM
|
31°C
|
12:18
|
DODOMA
|
26°C
|
12:34
|
KIGOMA
|
30°C
|
12:59
|
MBEYA
|
22°C
|
12:37
|
MWANZA
|
31°C
|
12:50
|
TABORA
|
29°C
|
12:47
|
TANGA |
30°C
|
12:22
|
ZANZIBAR
|
29°C
|
12:18
|
PEMBA
|
28°C
|
12:22
|
MOROGORO
|
28°C
|
12:25
|
Upepo wa Pwani:Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini-Mashariki kwa kasi
ya km 20 kwa saa; kwa
Pwani ya
Kaskazini na
kasi ya Km 20 kwa saa kwa Pwani ya Kusin.
Hali
ya bahari: Inatarajiwa kuwa
na mawimbi Madogo hadi Makubwa
kiasi.
Matazamio kwa usiku wa leo Jumatano: 03/07/2013: Mabadiliko kidogo.
Utabiri huu
umetolewa leo tarehe: 03/07/2013.
Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA
TANZANIA.
Post a Comment