Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

WABUNGE WA EAC WATEMBELEA UKUMBI MPYA WA BUNGE LA EALA

 


Spika wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA), Margareth Zziwa, akiwa na Kamati ya Uongozi wa Bunge hilo, walipotembelea ukumbi mpya wa Bunge la EALA uliopo kwenye jengo la Makao Makuu ya Jumuiya ya Afrika Mashariki Jijini Arusha Tanzania, tayari kwa kikao cha Bunge kinachotarajiwa kuanza tarehe 18/08/2013. 2. Spika ambaye ni Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi - EALA pamoja na Wabunge wanaounda Kamati ya Uongozi, wakionyesha nyuso za furaha walipokuwa katika ziara ya kutembelea ukumbi mpya wa bunge hilo Jijini Arusha. (Picha na Mukhtar Abdul wa EAC)
 
 
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top