Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraz la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,akimuapisha Dk.Mwinyihaji Makame Mwadini kuwa Waziri wa Nchi Ofisi
ya Rais Ikulu na Utawala Bora,katika hafla iliyofanyika Ukumbi wa ikulu
Mjini Zanzibar.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akimuapisha Dk.Mwinyihaji Makame Mwadini kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu na Utawala Bora,katika hafla iliyofanyika Ukumbi wa ikulu Mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraz la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akimuapisha Haji Omar Kheir,kuwa Waziri wa Nchi Ofisi
ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum,katika hafla iliyofanyika
Ukumbi wa ikulu Mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraz la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akimuapisha Haroun Ali Suleiman, kuwa Waziri wa Nchi
Ofisi ya Rais Kazi na Utumishi wa Umma,katika hafla iliyofanyika Ukumbi
wa ikulu Mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraz la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akimuapisha Zainab Omar Mohamed,kuwa Waziri
wa Uwezeshaji,Ustawi wa Jamii,Vijana Wanawake na Watoto,katika hafla
iliyofanyika Ukumbi wa ikulu Mjini Zanzibar.[Picha na
Ramadhan Othman,Ikulu.]
Post a Comment