Wananchi wakiwa
wamekusanyika eneo la mlipuko nje ya msikiti wa Sunni uliopo jijini Tripoli,
Lebanon.
Wananchi wakiangalia uhalibifu uliotokea baada ya
mlipuko.
Magari yaliyohabiriwa katika mlipuko
huo.
(PICHA ZOTE NA
AP)
MILIPUKO mikubwa miwili imetokea leo nje ya misikiti
katika jiji la Tripoli lililopo Kaskazini mwa Lebanon jirani na Syria. Katika
milipuko hiyo, watu 27 wanadaiwa kupoteza maisha, wakati 350 wakijeruhiwa.
Milipuko hii imeongeza mvutano nchini Lebanon ikiwa ni matokeo ya vita ya
wenyewe kwa wenyewe inayoendelea nchini Syria kati ya wafuasi na wapinzani wa
utawala wa Rais wa Syria, Bashar Assad.
Post a Comment