Viongozi mbalimbali wa Chama na Serikali wakiwa pamoja kumpa pole Mzee Philip Mangula kwa kufiwa na mwanawe Nemela Mangula. |
Baadhi ya waombolezaji mbalimbali katika msiba wa Nemela Mangula wakiwa wamegubikwa na huzuni wakiwa nyumbani kwa baba wa Marehemu Masaki jijini Dar es salaam. |
Mzee Mangula akiwa pamoja na viongozi mbalimbali wa Chama na Serikali waliofika nyumbani kwake kumpa pole kwa kufiwa na Mwanawe. |
Akina mama mbalimbali waliojumuika na familia ys Mzee Mangula katika kuomboleza msiba wa Nemela Mangula. |
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa Uchumi na fedha Mama Zakhia Mengi akisaini Kitabu cha Maombolezo. |
Mama Asharose Migiro Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa SUKI akiwa katika maombolezo ya msiba wa Nemela P Mangula |
Paul Christian Makonda akisaini Kitabu Cha Maombolezo ya Msiba wa Mtoto wa Makamu Mwenyekiti wa CCM Taifa Bara Mzee Philip Mangula. |
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mheshimiwa Mecky Sadick akisaini kitabu cha maombolezo ya msiba wa Nemela Mangula mtoto wa Makama Mwenyekiti Bara Mzee Philip Mangula. |
Mama Salma Kikwete,Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa akiwa anasaini kitabu cha maombolezo ya msiba wa Nemela. |
Baadhi ya waombolezaji katika msiba wa Nemela Mangula |
Post a Comment