|
Miss
Redds Ilala 2013, Doris Mollel leo akifuatana na washindi wenzake
wawili walifuatana kwenda Shule ya Msingi Guruka Kwalala, Chanika Karibu
na Gongo La Mboto kutoa msaada wa Vitabu kwa Shule, hapa ni baada ya
kuwasili Shuleni hapo leo asubuhi. |
|
Warembo hao wakiwa na Mwalimu Mkuu wa Shule baada ya Miss Redds Ilala 2013 kutoa rasmi Vitabu hivyo. |
|
Then ikawa mchezo wa Marede na wanafunzi pamoja na Warembozzz!! |
|
Le Big Shoow hanging out na Warembo at the School kabla ya kuanza Marede the game u know!! |
on Friday, August 23, 2013
Post a Comment