Fikiri Hausi mwanafunzi wa darasa la
tatu katika shule ya msingi ya majengo manispaa ya Songea akiwa amelazwa
Hospitali ya mkoa baada ya kuunguzwa na mama yake. Jeshi la polisi lina
endelea kumtafuta mama wa mtoto huyo(Picha: Songea habari)
huu ni mkono wa Fikiri akiwa hospitali kwa matibabu
Post a Comment