
Marehemu Erasto Msuya enzi za uhai wake
--
Wakati bilionea mfanyabiashara wa madini ya Tanzanite
yanayopatikana Mji mdogo wa Mirerani wilayani Simanjiro mkoani Manyara,
marehemu Erasto Simon Msuya (43) akitarajiwa kuzikwa kesho nyumbani kwao
mtaa wa Kairo, Mji mdogo wa Mirerani, polisi imewatia mbaroni watu
wawili wakihusishwa katika mtandao uliofanya mauaji ya mfanyabiashara
huyo.
Mfanyabiashara huyo anayemiliki vitega uchumi
kadhaa katika miji hiyo, aliuawa Agosti 8, mwaka huu katika eneo la
Mjohoroni wilayani Hai baada ya kumiminiwa risasi zaidi ya 20 za bunduki
ya kivita aina ya SMG.Kwa Habari zaidi bofya na Endelea....>>>>>
Post a Comment