Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na
mkewe Mama Salma Kikwete wakimjulia hali mwenyekiti wa UDP Mh.John
Momose Cheyo aliyelazwa katika hospitali ya Aga Khan jijini Dar es
Salaam.Katikati ya Rais na Mama Salma ni Mjukuu wa Mheshimiwa Cheyo
anayejulikana kama Gabriel Cheyo.Picha Freddy Maro-IKULU
Loading...
Home » Unlabelled » Rais Jakaya Kikwete na Mama Salma Wamjulia hali Mwenyekiti wa UDP Mh. John Momose Cheyo alielazwa hospitali ya Aga Khan jijini Dar es Salaam
Post a Comment