|
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja na Kiongozi wa taasisi ya
International Youth Foundation (IYF) ya Korea Kusini Mchungaji Ock Soo
Park pamoja na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt
Fenella Mukangara na ujumbe wa IYF Ikulu jijini Dar es salaam leo. |
|
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja na Kiongozi wa taasisi ya
International Youth Foundation (IYF) ya Korea Kusini Ock Soo Park Ikulu
jijini Dar es salaam leo. |
|
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akijadili chapisho la kitabu na Kiongozi wa
taasisi ya International Youth Foundation (IYF) ya Korea
Kusini Mchungaji Ock Soo Park aliyemtembelea Ikulu jijini Dar es salaam
leo. Kushoto ni mkalimani. |
on Saturday, August 3, 2013
Post a Comment