Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na mzee Khalfan Tengeneza Mchaga, katika kijiji cha Msoga, Kata ya Chalinze, Wilaya ya Bagamoyo leo wakati Rais alipomtembelea kumjulia hali. Rais Kikwete alikuwa katika mapumziko ya mwisho wa wiki kijijini Msoga. Picha na Freddy Maro
on Sunday, August 11, 2013
Post a Comment