Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na Mke wake Mama Salma Kikwete wakitoa heshima
zao za mwisho kwa marehemu Nemela Phillip Mangula, binti wa Makamu
Mwenyekiti wa CCM Mhe Phillip Mangula nyumbani kwake Oysterbay jijini
Dar es Salaam leo Agosti 19, 2013. Marehemu Nemela amafariki Jumamosi
iliyopita kwa ajali ya gari. mwili wake unatarajiwa kusafirishwa kesho
kwenda Njombe kwa mazishi yanayotarajiwa kufanyika Agosti 21, 2013.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Marais wastaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi na Mzee Benjamin William Mkapa, Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda, Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda, Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana na viongozi wengine wakiwa katika msiba wa binti wa Makamu Mwenyekiti wa CCM Mhe Phillip Mangula nyumbani kwake Oysterbay jijini Dar es Salaam leo Agosti 19, 2013. Marehemu Nemela amafariki Jumamosi iliyopita kwa ajali ya gari. mwili wake unatarajiwa kusafirishwa kesho kwenda Njombe kwa mazishi yanayotarajiwa kufanyika Agosti 21, 2013.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mke wake Mama Salma Kikwete wakitoa pole kwa familia ya marehemu baada ya kutoa heshima zao za mwisho kwa marehemu Nemela Phillip Mangula, binti wa Makamu Mwenyekiti wa CCM Mhe Phillip Mangula nyumbani kwake Oysterbay jijini Dar es salaam leo Agosti 19, 2013. Marehemu Nemela amafariki Jumamosi iliyopita kwa ajali ya gari na mwili wake unatarajiwa kusafirishwa kesho kwenda Njombe kwa mazishi yanayotarajiwa kufanyika Agosti 21, 2013.(PICHA NA IKULU)

Post a Comment