Mjumbe Baraza la Katiba la Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha Mkoani
Pwani, Bi. Mwajuma Ramadhani akitoa maoni yake kuhusu Rasimu ya
Katiba Mpya iliyotolewa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba katika mkutano
uliofanyika leo (Jumapili Agosti 4, 2013) katika ukumbi wa shule ya
Sekondari ya Kilangalanga uliopo Wilayani humo.
Mjumbe wa Baraza la Katiba la Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha Mkoani
Pwani, Bi. Anna Mollel akitoa maoni yake kuhusu Rasimu ya Katiba Mpya
iliyotolewa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba katika mkutano uliofanyika
leo (Jumapili Agosti 4, 2013) katika ukumbi wa shule ya Sekondari ya
Kilangalanga uliopo Wilayani humo.
Mjumbe Baraza la Katiba la Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha Mkoani
Pwani, Bw. Mohamedi Malande akitoa maoni yake kuhusu Rasimu ya Katiba
Mpya iliyotolewa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba katika mkutano uliofanyika
leo (Jumapili Agosti 4, 2013) katika ukumbi wa shule ya Sekondari ya
Kilangalanga uliopo Wilayani humo.
Mjumbe Baraza la Katiba la Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha Mkoani
Pwani, Bw. Adam Korongo akitoa maoni yake kuhusu Rasimu ya Katiba Mpya
iliyotolewa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba katika mkutano uliofanyika
leo (Jumapili Agosti 4, 2013) katika ukumbi wa shule ya Sekondari ya
Kilangalanga uliopo Wilayani humo.
Mjumbe
wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Prof. Palamagamba Kabudi (kushoto)
akizungumza na Wajumbe wa Baraza la Katiba la Halmashauri ya Wilaya
ya Kihaba Mkoani Pwani leo (Jumapili Agosti 4) katika mkutano wa kuijadili
na kuitolea maoni Rasimu ya Katiba Mpya iliyotolewa na Tume hiyo. Kulia
ni Mjumbe wa Tume hiyo, Mhe. Al- shaymaa Kwegyir.Picha na Tume ya Katiba
Post a Comment