Kiongozi wa mabalozi saba kutoka nchi za Bara la Asia, ambaye ni Balozi wa Pakistan Tajammul Altaf wanne (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari leo katika ukumbi wa mikutano wa Idara ya Habari – MAELEZO kuhusu maonesho ya nane ya filamu
za nchi za bara hilo yatakayofanyika katika ukumbi wa Quality Center
Cinema uliopo barabara ya Nyerere Road jijini Dares Salaam kuanzia
Agosti 14 hadi 23, mwaka huu.
Baadhi ya mabalozi kutoka nchi za Bara la Asia wakisubiri kuingia katika ukumbi wa mikutano wa Idara ya Habari – MAELEZO leo kwa ajili ya kuzungumzia maonesho ya nane ya filamu
za nchi za bara hilo yatakayofanyika katika ukumbi wa Quality Center
Cinema uliopo barabara ya Nyerere Road jijini Dares Salaam kuanzia
Agosti 14 hadi 23, mwaka huu.
Baadhi ya mabalozi kutoka nchi za Bara la Asia wakisubiri kuingia katika ukumbi wa mikutano wa Idara ya Habari – MAELEZO leo
kwa ajili ya kuzungumzia maonesho ya nane ya filamu za nchi za bara
hilo yatakayofanyika katika ukumbi wa Quality Center Cinema uliopo
barabara ya Nyerere Road jijini Dares Salaam kuanzia Agosti 14 hadi 23,
mwaka huu. Picha zote na Anna Itenda - MAELEZO
***********************************************
MASWALI YA MAKALA YA USAFIRI WA HARAKA
1. Ninaomba kupewa historia ya mradi wa mabasi yaendayo kwa haraka.
2. Je
mradi huu unaendeshwaje? Pia wafadhili wa mradi huo ni wakina nani na
kila mmoja atachangia kiasi gani ili kuendesha mradi huo? Na unajengwa
na kampuni ipi , pia ni kampuni hiyo inakumbana na changamoto zipi
katika kuujenga.
3. Je
mradi huu utawanufaisha vipi wananachi katika kukabiliana na changamoto
za usafiri katika jiji la Dare Salaam katika masuala ya kiuchumi na
kijamii.
4. Je mradi huu unategemea kutoa ajira kwa kiasi gani ili kutatua tatizo la ajira nchini.
5. Je mradi huu utawasaidiaaje madereva wa daladala katika kuhakikisha kwamba wanapata ajira ya kudumu? Au ya uhakika.
6. Je ni changamoto zipi mnazokabiliana nazo katika kuutekeleza mradi huu na unatarajia kukamilika lini?
7. Je
mradi huu utakuwa na faida gani katika kuongeza pato la taifa yaani
utachangia kwa kiasi gan? Na ninaomba kufahamu hivi sasa sekta ya
usafiri katika jiji la Dares Salaam unachangia kwa kiasi gani?
8. Je
hadi sasa ni watu wangapi ambao waliathirika kutokana na mradi
huo wanatakiwa kulipwa fidia ?. Na je fidia hiyo imeshalipwa kwa watu
wote kama bado wangapi wamelipwa na bado wangapi ? niaomba kupata
maeneo ni wa maeneo yapi?
9. Kufuatia
tatizo la msongamano wa magari na foleni Je ni hasara ya kiasi gani
inatokana na tatizo hili( yaani tunapoteza fedha kiasi gani? Na inathiri
vipi kiuchumi?
Post a Comment