Mtoa Mada ya Mafunzo ya Ajira na jinsi ya
kufanya Udahili wa Kazi kwa Vijana wa Jimbo la Kikwajuni Bi. Cathennerose
Barretto, akitoa mafunzo katika ukumbi wa Ofisi za Youth Icon muembe madema.
yalioatandiliwa na Yuoth Icon kwa vijana wa jimbo hilo jinsi ya kutafuta kazi
kupitia mitandao.
Wakufunzi wa mafunzo ya Ajira na jinsi ya
kufanya udahili wa kazi wakifuatilia mafunzo hayo yliotolewa na Taasisi ya
Foretag LightwaySolution. katika ukumbi wa Ofisi za Yuoth Icon muembe madema.
Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni Hamad Masauni,
akifunga mafunzo hayo na kutowa shukrani kwa Taasisi hiyo iliotowa mafunzo hayo
kwa Vijana wa jimbo lake, na kutowa nasahazake kwa Vijana hao kuyatumia vizuri
mafunzo hayo wanapokuwa katika harakati za Udahili wa Kazi.
Mkufunzo wa Youth Icon Rajab Lee, akitowa
nasaha zake kwa Vijana waliopata mafunzo hayo kuyatumia vizuri na kufaidika nayo
wakati wa shughuli zao za kutafuta kazi kupitia njia ya mtandao.
Mjumbe wa Bodi ya Youth Icon Khamis Mbeto,
akitowa shukrani kwa taasisi hiyo na kuwataka vijana kuyatumia vizuri mafunzo
hayo. Via ZanziNews
Post a Comment